standard charted graduates programme

standard charted graduates programme

kuku87

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
1,220
Reaction score
296
jamani kuna mtu bado yuko kwenye hii programe?, amefikia wapi kwa mfano?
 
Jombaa naona una hasira kinyaama!hujajenga network ya kujua haya makitu kabla hujayaleta jukwaani?ama u mmoja wa wale kina Mourinho,i.e.,'the special ones' ,ila mkiona kiimya ndo mnambwanda na kuja huku?
 
kama kweli unaifahamu hii program ungejua naulizia nn
 
jamani kuna mtu bado yuko kwenye hii programe?, amefikia wapi kwa mfano?

Kama ni hiyo nnayoifaham mimi, nilifanya mbili kama sikosei, mpaka sasa sijui kinachoendelea..wewe je?
 
hiyo programme niliipania sana nahisi ndio sababu ya kutofanya vizuri kwanye test yao, ya kwanza nilifaulu nikajiona kuwa hapa nitapita kwenye hatua ya pili, wakanitumia ya kimahesabu zaidi nikaona ahaa ni rahisi dah nikachemsha, ila ukweli nimejilaumu mwenyewe na wala sikuweza kulalamika na nimejifunza sana kwenye hili tusidharau chochote hasa kitu kinachoitwa online test, jamaa walinitumia vizuri hii link na wakanipa muongozo kabisa kuwa kabla hujaanza fanya review test ambayo walikuwa wameiweka kabla sijaanza nilichokifanya nikasoma instruction tu na sikufanya pre test nilijilaumu sana, na hawana cha huruma maana nililia nilia wakaniambia wataniweka kwenye programme ya kenya or uganda sasa nasubiria, tuombe mungu tu wanitumie,
 
duh basi ni kama hawajachukua mtu mi pia nimefanya mbili tu mpk sasa kimya wakijisikia watatutafuta ila zimepita week mbili jua huna chako
 
Back
Top Bottom