Tatizo hawakumuhusisha na kumshirikisha kwenye mipango na maamuz yao kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ndo maana.Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...