Stand ya Bus mkoa wa Mara-Bweri inatia Aibu

Stand ya Bus mkoa wa Mara-Bweri inatia Aibu

Kusema kweli Tanzania ni Darasalamaa tuu huko kwingine ukienda nikama umehama Nchi vile
Hata ustaarabu wa watu wa mikoani huwa siuwezi hasa huko Kanda ya ziwa yani wapo hovyo hovyo tu...mtu kukurushia ngumi au kukutukana ni jambo la kawaida sana.
Unaijua dar vizur wewe????
Au kelele tu.
 
Mbona huku kwa mikinga makete kwa kikuda san, mji umelaaniwa huuu tatizo lenu wakinga hamjengi kwenuuuu, sio kwa ubaya huu takataka tu na ukimwi huku ndio NYUMBA ni kwao badilikeni wana makete
 
Unajitahidi ku
Ehee, nisamehe Mkuu, ingawa asili yangu ni Nyarusurya, lakini haya mambo ya kuwa nje muda mrefu !!! Nilikuwa sijafahamu kuwa kuwa Makutano ni Musoma Vijijini ambako Makao Makuu ni Butiama, lakini hata hivyo mbona hata sasa watu wa Musoma mjini wanaifuta stand kijiji cha Bweri tena nje ya mji.
Unajitahidi kurekebisha lakini wapi, bado hujui vizuri jiografia ya Musoma, nadhani comment kwa njia ya maswali inaweza kukusaidia kuliko kuonekana unaelewa kumbe 0..!!
 
Kama mnataka hiyo stand ichangamke, waambie wawakilishi wenu (Wabunge na Madiwani) watoe ushauri ihamishiwe Makutano hapo Round about kulikuwa kuwa na kituo cha mafuta cha Zakaria. Vinginevyo, hiyo stand itaendelea kudumaa kutokana na Geographical location ya mji wa Musoma. Ukiangalia sana mabasi ya Mwanza - Tarime - Sirari hayaingii huko Bwire, yanashusha abiria hapo Makuatano, stand ya Bweri abiria wake ni wachache sana na wengi wao ni wenaoanzia maisha hapo. Ebu angalia hata katika picha yako magari makubwa kwa maana ya magari ya kwenda mikoa mikoa mingine ni mangapi !!! ni moja tu. Hebu nenda Sirari au Tarime uone magari makubwa yalivyo mengi. Toeni stend huko mafichoni ili iwe kiungo baina ya Mkoa wa Mara na Mikoa mingine.
Kweli maana hata magari makubwa yanayolala musoma,mengi yanabakia abiria town,bweri ni kupita kusaini kwa trafiki na kuondoka. Na hata kuanzia saa kumi na mbili jioni magari yote hayaingii bweri. Yananyooka town.
 
Hayawezi kuingia stand kupoteza muda ilhali yanaenda kulala mjini; na abiria wote wanaenda mjini. Likiiingia stand bado halitashusha abiria, maana wanaona kama ni usumbufu kushuka Bweri badala ya kwenda na gari hadi mjini. Mimi ni mzaliwa wa huko, nimesoma Musoma Alliance enzi hizo majirani zetu wakiwa Songe Girls, nafahamu mazingira yote ya eneo hilo.
 
Kusema kweli Tanzania ni Darasalamaa tuu huko kwingine ukienda nikama umehama Nchi vile
Hata ustaarabu wa watu wa mikoani huwa siuwezi hasa huko Kanda ya ziwa yani wapo hovyo hovyo tu...mtu kukurushia ngumi au kukutukana ni jambo la kawaida sana.
Acha uongo huijui Musoma na Mkoa wa Mara kwa ujumla wake
 
Hakuna stend hapo huo
Unafaa kuwa uwanja wa mpira
 
Ehee, nisamehe Mkuu, ingawa asili yangu ni Nyarusurya, lakini haya mambo ya kuwa nje muda mrefu !!! Nilikuwa sijafahamu kuwa kuwa Makutano ni Musoma Vijijini ambako Makao Makuu ni Butiama, lakini hata hivyo mbona hata sasa watu wa Musoma mjini wanaifuta stand kijiji cha Bweri tena nje ya mji.
Ha ha Nyarusurya ya fish park, chini ya kibao cha Musoma tech, au Nyarusurya ya Mada Video show?
 
zipo stend nyingi za namna hiyo.. umeiona ya Shinyanga? tena pale ni njiani mabasi mengi hupita kwenda Mwanza, Mara, Bukoba na kwengineko mbona ni tope tu?

Kama ni suala la kurekebisha stend na warekebishe maeneo mbalimbali Tanzania kwa sababu sehemu nyingi hali ni hiyohiyo sio Mara tu.
 
Stand za kiwango ni ya Morogoro pale Msamvu,Ya Singida ile inayojengwa pale na Ya Moshi ambayo kwa sasa kuna haha ya kuihamisha kutokana na wingi as magari na kuonekana ni ndogo.
Unaijua stand ya Kigoma?
 
Kusema kweli Tanzania ni Darasalamaa tuu huko kwingine ukienda nikama umehama Nchi vile
Hata ustaarabu wa watu wa mikoani huwa siuwezi hasa huko Kanda ya ziwa yani wapo hovyo hovyo tu...mtu kukurushia ngumi au kukutukana ni jambo la kawaida sana.
Kunywa soda nakuja kulipa haaaaa
 
Back
Top Bottom