Stand Utd ikishuka lawama kwa Nani?

Kama Toto African na Mgambo Shooting tu, hayo ndiyo malipo ya kukamia mechi moja tu nyingine zoote wanaachia. Acha washuke ili wajue ligi haina timu ya Simba pekee.

Kama Simba anavyofkiri ubingwa ni kumfunga Yanga
 
Ambaye ni kati ya Prisons,Ndanda na Stendi Utd!

Mzee sahau tunajipigia Ruvu vizuri tu! Kambarage ni machinjioni hofu yangu tusihujumiane ili kukomoana! Tusije tukaenda Pandagi Chiza wenzetu wakaenda Segese
Waulize tuliocheza nao FDL. Tukishindwa kabisa tunafunga goli moja afu inapiga mvua ya kufa mtu, tunamalizia kiporo asubuhi
 

Nani anajipigia Ruvu vizuri tu?
 
Timu gani ambazo pasi na shaka Stend, Ndanda, Polisli na Prison tatu kati hizo nne zitashuka daraja kwa hali ilivyo. Sasa sjui ni nani kati ya hao wanne ataponea tundu la sindano? Mimi sijui!

yaani sasa ushindani upo kwenye nani ashuke na nani abaki, badala ya kushindania ubingwa.
 
CHAZA umeona! Eh tumemrudisha Masau Bwire ligi daraja LA kwanza! Na leo tunasaini Mkataba mnono kuliko hata Wa Simba na Yanga. Acacia Gold mine wanatudhamini! So Petra Diamond wakae macho
 
Last edited by a moderator:
Stand Utd kama huijui muulize Masau Bwire, Kama huipendi demu wako na mke wako wanaipenda, ni kama maji usipokunywa, utaoga, Au utaoshewa ukifa.
Chama LA Wana Yes! Yes! Yes!
 

Attachments

  • 1431316063078.jpg
    25.9 KB · Views: 87
  • 1431316085357.jpg
    22.8 KB · Views: 85
  • 1431316110478.jpg
    12.8 KB · Views: 83
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…