Kuna stendi ya Mangaka ukiwa unatokea Masasi kwenda Tunduru. Nayo ni nzuri ingawa ni ndogo kutokana eneo ilipoKwa uzoefu wangu.
1. Magufuli Dar Es Salaam
2. Nyegezi Mwanza
3. Dodoma
4. Nyamuhongolo Mwanza
5. Msamvu Morogoro.
Moshi kuna stendi?Hapo kwenye stendi ya Magufuli ondoa weka hapo moshi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wachaga wataumia mno hawamoKwa uzoefu wangu.
1. Magufuli Dar Es Salaam
2. Nyegezi Mwanza
3. Dodoma
4. Nyamuhongolo Mwanza
5. Msamvu Morogoro.