Ungekuwa unaamini kukaa kimya ungeanza ww kukaa kimya!
Thread yako imebebwa na sentensi "mistari yake mingi ni ya KIUJANJAUJANJA mno!".huna tafsiri ya kiujanjaujanja na mifano yake,na pia storytelling inaruhusiwa kwenye hiphop,kama ulikuwa hujui.
Zaidi kuwataja kina Geez,Babuu,Kala,na Mansulii kuwa wasanii bora wa hiphop,tena kwa miaka 10 ijayo imedhihirisha wewe ni mbumbumbu wa hiphop!Hata FidQ na Jmoe hawawezi freestyling,nguzo muhimu ya kuwa MC wa ukweli!
Jipange,vinginevyo kaa kimya maana ni BUSARA!