Stamico

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
Kunani stamico....aliyeitwa kazini...atujuze. Sikukuu njema wana JF
 
Ni post zipi hizo?

Muungwana GMK... zilitolewa na STAMICO tar 13/10/2013 na interview ilifanyika tar 1/12/2013 hadi 13/12/2013 pale STAMICO makao makuu Upanga na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pale Temeke Veterinary
 
Asante mkuu, kuja zingine walitoa majuzi ndo maana nikauliza, nilidhani ni hizo
 
Muungwana GMK... zilitolewa na STAMICO tar 13/10/2013 na interview ilifanyika tar 1/12/2013 hadi 13/12/2013 pale STAMICO makao makuu Upanga na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pale Temeke Veterinary

mkuu mapinduz najua utakuwa na nyepesi nyepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…