STAMICO - Salary Scale SMC 5.

STAMICO - Salary Scale SMC 5.

GKM

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
738
Reaction score
332
Wakuu hiyo scale ni sawa na shilingi ngapi?
 
bado nasubiria majibu wakuu
 
wewe kama umepata kazi nenda kafanye acha kujishauri infact salary scale hiyo hi sawa na 1670,000/= confirmed in one of their current contract given to one of the new employee but engineer so cjui kwa category nyengine
 
bila shaka ni recent graduate una expectation kubwa kubwa tu huwazi kupata kidogo hiyo ni tsh. 685,570/- ila kwa sasa nenda kafanye kazi tu, lakini pia learn on how you can bargain kwenye salary
 
Daktari (MD) atakuwa scale gani na atakuwa analipwa shilingi ngapi huko STAMICO?
 
bila shaka ni recent graduate una expectation kubwa kubwa tu huwazi kupata kidogo hiyo ni tsh. 685,570/- ila kwa sasa nenda kafanye kazi tu, lakini pia learn on how you can bargain kwenye salary

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, kama hujui ni bora kukaa kimyaaaa
 
wewe kama umepata kazi nenda kafanye acha kujishauri infact salary scale hiyo hi sawa na 1670,000/= confirmed in one of their current contract given to one of the new employee but engineer so cjui kwa category nyengine
kujishauri muhimu mkuu, unaweza uka-resign kazi ya sasa kumbe huko unapoenda majanga!
 
Back
Top Bottom