SUTGI = HENI OVER ZA JANA NINI MKUU (utani tu)tunaludi kwenye mada bei gani hizo shati au ndo vazi la taifa kimiya kimiya.View attachment 88734 amependeza....nakumbuka tuliwatambua Marais kwa staili zao mfano sutgi za Kaunda aka Kaunda Suti
Na wewe hapo kwenye rangi nyekundu itakuwa nini?SUTGI = HENI OVER ZA JANA NINI MKUU (utani tu)tunaludi kwenye mada bei gani hizo shati au ndo vazi la taifa kimiya kimiya.
Na wewe hapo kwenye rangi nyekundu itakuwa nini?
View attachment 88734
amependeza....nakumbuka tuliwatambua Marais kwa staili zao mfano sutgi za Kaunda aka Kaunda Suti
SUTGI = HENI OVER ZA JANA NINI MKUU (utani tu)tunaludi kwenye mada bei gani hizo shati au ndo vazi la taifa kimiya kimiya.
Hiki ni Kiswahili au Kinyasa mkuu?
wanyasa ndo tunaongea hvyo.Hiki ni Kiswahili au Kinyasa mkuu?
kilugha cha kihazabe najitaidi kukiweka kwenye kiswahili fasaha nashukulu kama umekiona .
nimekusoma mkullu!