Wanaume wa dar bana , afu hapo akitokea hata mbwa kichaa wote wanalala saa 11 jioni[emoji23]Wakuu,kuna staili mpya ya wizi apa dar nimehishuhudia sehemu tofauti tofauti hasa mida ya usiku.
Wizi huu mara nyingi hufanyika vituo vya mabasi,wanakua wezi wa 4.Mmoja anakuanzishia ugomvi ghafla,wale wengine wanajifanya kuamulia huku ukivutwa gizani.
Wanahakikisha wanaendelea kukuvutia mbali mpaka wabaki wao kwa wao ndio apo wanakubadilikia na kukukaba.
Tahadhari ukiona mtu kakuanzishia ugomvi ghafla piga kelele ya mwizi kabla haujapelekwa chemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,kuna staili mpya ya wizi apa dar nimehishuhudia sehemu tofauti tofauti hasa mida ya usiku.
Wizi huu mara nyingi hufanyika vituo vya mabasi,wanakua wezi wa 4.Mmoja anakuanzishia ugomvi ghafla,wale wengine wanajifanya kuamulia huku ukivutwa gizani.
Wanahakikisha wanaendelea kukuvutia mbali mpaka wabaki wao kwa wao ndio apo wanakubadilikia na kukukaba.
Tahadhari ukiona mtu kakuanzishia ugomvi ghafla piga kelele ya mwizi kabla haujapelekwa chemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaofanyiwa hivyo wanatokea koromije
Mkuu unashangaa kuanzishiwa fujo kwa minajili ya kuporwa?Wanaume wa dar mnavituko sana
Inawezekana vipi mtu akuanzishie ugomvi bila sababu?
Hahahhaa mkuu nyie ndio mnavyoibiwa hivyo,na msipo ibiwa kwa staili hiyo basi mtauziwa kipande cha sabuni cha mia mbili kwa laki mbili shubaaaaaaamitWanaume wa dar bana , afu hapo akitokea hata mbwa kichaa wote wanalala saa 11 jioni[emoji23]
By the way siamini kama mtu wa mkoani utue zako ubungo ukabwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha[emoji23] hao ni watu wa uyoleHahahhaa mkuu nyie ndio mnavyoibiwa hivyo,na msipo ibiwa kwa staili hiyo basi mtauziwa kipande cha sabuni cha mia mbili kwa laki mbili shubaaaaaaamit
😂😂😂😂 kumbe...!
Mkuu una maanisha hela ya gunia mbili za viazi ndio inatumika kununulia kipande kimoja cha sabuni cha shilingi mia mbili?
Mambo kama hayo wanayaweza wachina.ni basi tu tunaogopa kuua na kupata kesi, la sivyo mtu akikuanzishia ugomvi unahakikisha ndani ya sekunde chache umem- "neutralize" kwa pigo moja la nguvu kama vile ngumi nzito na ya haraka ya koo au teke kali kwenye korodani kisha unaondoka zako ndani ya sekunde chache!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe...!