Godian Ngunguti
Senior Member
- Feb 26, 2013
- 115
- 26
Wanandugu,
Habari.
Kutokana na muendelezo wa kuhamisha watumishi toka sehemu A kwenda sehemu B hasa walimu toka shule moja kwenda nyingine,inaweza kuwa toka katika shule za misingi kwenda shule nyingine ya msingi au kutoka sekondari kwenda sekondari au pia shule za misingi,ninaomba mwenye kuelewa anijulishe ni nini mtu aliyehamishwa anastahili alipwe??
Utaratibu wa kisheria unasemaje kuhusu hayo malipo,ni nini hasa anatakiwa lazima alipwe na mwajiri wake??
Ahsanteni