St Peters Oysterbay rekebisheni Hili

St Peters Oysterbay rekebisheni Hili

Au sio? Jf kuna kila aina ya watu ndo mnavyojidanganya

Kutumia wewe huu mtandao haimaanishi kwamba kila mtu anatumia wengine hata hawaujui kabisa kama unaexist
Mtukane Kadinali Pengo sasa hivi, kwa jina lako halisi, ukitaja kigango chako na utapata salamu kesho asubuhi.
 
Umetoa, ushauri sahihi , utafika kwa viongozi na pale watakapoona umuhimu watashughulikia lengo likiwa ni KUMUABUDU MUNGU.
 
Mchelewaji ? Kwa nini Usimuone Baba Paroko Ukampa ushauri wako?
 
Umewasilisha kwenye Jumuiya yako hoja hii au katika utaratibu wa kawaida wa Kanisa Katoliki??? Hivi kweli imefika masuala haya eti yajadiliwe humu mitandaoni???!!!
Kuna kitu gani hakijadiliki mitandaoni na nyie mmezidi

Hivi hili na lile la Amber Rutty lipi lilipaswa hata lisijadiliwe maana kulijadili ndio kunaongezea wigo wa taarifa husika kusambaa ?
 
Back
Top Bottom