St Mary's school nunueni magari ya wanafunzi

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,084
1,061
Magari yamechoka, yana kutu, machafu mtatuulia watoto wetu.

Nunueni hata vipanya jamani. Kesho nitaleta picha za magari yenu watu waone.
 
Hizo hizo st.Mary's international schools.. Tabata bima
 
Wakuu mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hizi shule ni miongoni mwa shule zenye usafiri bora kabisa ukilinganisha na hizo nyingine mtu unamuomba mungu tu mtoto aende na arudi salama
 
Wakuu mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hizi shule ni miongoni mwa shule zenye usafiri bora kabisa ukilinganisha na hizo nyingine mtu unamuomba mungu tu mtoto aende na arudi salama
Hizi ni shule za hovyo sana...
 
Back
Top Bottom