St.Mary's Mazinde Juu ni mchepuo wa St.Mary's Kifungilo Girls' Secondary School kwani baadhi ya walimu walitoka Kifungilo na kwenda kufundisha Mazinde Juu.Kwa wale wanaomkumbuka Sister Msaki alikuwa Kifungilo na Father Damian alikuwa Magamba Secondary. Hizi shule mbili ni best schools in Tz.Kazi ni msingi wa maendeleo kwa hivi wacha tu wafanye kazi. Tulifanya tulipokuwa Kifungilo ndio maana tupo tulivyo leo.Lol!! Keep it up St.Mary's Mazinde Juu as well as St.Mary's Kifungilo Girls'.
Rosylene kukufahamisha tu Kifungilo ilikuwa inaitwa Kifungilo St.Mary's Primary School kabla haijawa Secondary.
Father Damian alikuwa Magamba Secondary kama Padri ni sawa na Father Peter alivyokuwa Kifungilo. By the way nimesoma Kifungilo
Ukiweza mtafute Sister Fidesta nasikia amerudi Kifungilo atakujuza zaidi. Nadhani nimejitahidi kujibu swali lako.
I greatly miss all of my My Mazinde Juu Girls. God Bless and be good.
Father Damian
angalia vibinti Innocent kabisa,Mungu awalinde, vikifika mlimani au vikikua wengi mawazo yao yanabadilika na kuwaza haya
tena wanakuwa wakali ukiwauliza jamani vipi, 'tunaenda' na wakati, tunataka kuiga,
HIYO PICHA YA kwanza kila mmoja atakubali it is real superb, ya pili tunajiuma uma na kusema tunaenda na wakati! nani katika hao hapo juu ni wife material? mapaja na hayo maungo mengine ni kwa ajili ya mume was never meant for public! was meant for private
Tuwaombee hao ma-binti
S0233 ST. MARY'S MAZINDE JUU SEC. SCHOOL: CSEE2009
DIV-I = 26 DIV-II = 10 DIV-III = 6 DIV-IV = 0 FLD = 0
S0224 KIFUNGILO GIRLS SECONDARY SCHOO:CSEE2009
DIV-I = 46 DIV-II = 27 DIV-III = 15 DIV-IV = 4 FLD = 0
Linganisha mkubwa percentage wise!
<table align="CENTER" bgcolor="LIGHTYELLOW" border="1" cellspacing="2" width="750"> <tbody><tr><td valign="MIDDLE" width="6%">
</td></tr></tbody></table>
I greatly miss all of my My Mazinde Juu Girls. God Bless and be good, Father Damian
Father Damian alifundisha Magamba???miaka gani??mwenye data embu aseme...mie sijawahi sikia....
na pia kifungilo nayo ni st. naniii?