St.Kayumba...Mungu Ibariki afrika...

Mwenyewe nishawahi kuuzishwa aishikrimu jaman na bagia
Mimi nilikua nauza icecream na ubuyu wa walimu kuanzia darasa la kwanza mpaka la nne. Naenda kwao nachukua deli nakuja kuuza shule. Babu yangu angejuaga angewakata miguu wale walimu
 
Hahhaha hongera tena nimeuzishwa na walimu
hongera sana.
sisi tulisoma na mwarabu mmoja, aligoma kuuza kshata za mwalimu wa english darasa la nne. alikula makofi mbele ya darsa hajawahi kurudi shule hadi kesho.
baba yake alikuwa anajiweza alimpeleka english medium akatuachia kayumba yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…