Duuhh! Hii nayo mpya, mi nnachofahamu ni kuwa,tofauti na field ya Afya na education,kwingine kulikobaki ajira ni za kusotea hata ungekuwa umesoma wapi,usimuogopeshe namna hiyo.St joseph??kama unataka kukosa ajira nenda huko!!
Hakuna chuo wanachofundisha kubadilisha screen ya laptop wala kuifungua hiyo laptop. Ni juhudi zako tu binafsi kujua hivyo vitu.Ushahidi....ndugu yangu kamaliza degree ya computer engeneering akiwa na uppr 2 nd kashindwa kubadirsha screen ya laptop yangu iliyo pasuka.nikajiuliza "ni nini hichi!!!!" Nashaur DIT ndo wako vizuri zaid
Hiki ndio kitu sahihi st joseph lazima uende chuo kila siku,Upende au usipende utakuwa na discpline tu.heheh nenda st joseph ukajifunze discpline, chuo utaenda kilasiku bila kupenda, jiandae kupiga paper mara kwa mara ila mtafundishwa vitu vingi sana. Kuna jamaa alikuwa anafundisha st joseph sasa yupo dit kwa upande wake anasema st joseph wanafundisha sana na hata kwenye project zao wako vizuri, ila waliosoma hvyo vyuo si wapo humu wamshauri dogo sasa.
Ukweli mtupu,Huu ndo Ukweli nakueleza !
Kama Unataka Elimu Nenda DIT !
Kama unataka GPA nenda St:Joseph