Chuo ni chuo ndugu yangu kama utakaa tu bila kutaka kujua hautojua vitu,,,ila kama unataka GPA ni bora uende st. Joseph kama chuo maarufu cha kuheshima ila utahenya nenda dit, electrical ni nzuri,,,watu wengi huwa hawajua kuwa mtu wa electrical anasoma na electronics pia hata kama haijatajwa hiyo electronics, zamani wakati vyuo vinaanzishwa kulikuwa na kozi ya Electrical tu pekee, sikuhizi ndio wametoa vijikozi vidogo vidogo kama hivyo electronics, telecom na computer, sina hakika na mtaala wa dit ila kwa ud mtu wa electrical anasoma sana Electronics