St:joseph university dar es salaam

St:joseph university dar es salaam

cpb

Senior Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
156
Reaction score
88
habari wana jamvi
Nmechaguliwa kusomea bachelor of education in mathematics kwenye chuo hapo juu lakini sjajua umuhimu wa hii course je ukimaliza unakuwa mwalimu wa hesabu tu au unajiriwa kama mkufunzi wa chuo msaada tafadhali nataka njue umuhimu wake ndo nchukue maamuzi ya kujiunga hivo ushaur wako ni muhimu katika maisha yangu
 
Inategemea na gpa utakazopiga hapo chuo...so gpa za juu na chuo wakiridhika na wewe watakubakiza chuon tu bt kinyume chake utakua mwalimu wa kawaida tu coz haina namna.
 
jamani mbona mmepotezea post yangu niategemea sana ushauri wenu kumbuka mda wenywe ndo huu umeenda sana na nko njia panda sijui nifanyelipi maana wapo wanaoniambia siwezi ajiriwa kwa kuwa nasomea somo moja tu wengine wananiambia naweza kuajieiwa vyuo vyaualimu kama mkufunzi sasa sjui nani mkweli hapo
 
Masada mwenye majina ya second round st.joseph university dar es saam
 
Back
Top Bottom