St. Joseph Collage Of Engineering


Naomba niku Pm mkuu
 
Naomba niku Pm mkuu
Mkuu vipi mbona kimya karibu Mechanical na wala sikushaur uhame hii course maana usifikilie kwa sasa.Angalia utakapokuja kuhitimu miaka minne ijayo eng Mech watakuwa wanahitajika kwa kiasi gani.Lakini ujue hii course unapiga msuli kinoma na ndio course yenye watu wachache chuoni ukilinganisha na course nyingine.
 
Dah Nmegundua Kua Vyuo Vya Private Havifai Kwa Watu Wenye Kipato Kidogo...Mungu Anisaidie Nifanikishe Transfer...Hcho Chuo Ktanitesa Sana Kwa Hyo Ada Mkuu
Mkuu ni kweli kama huna uhakika wa ada St joseph sio chuo rafiki kwako.Lakini hiki chuo wanafundisha kinoma pia discpline ya hali ya juu inahitajika sana.
 
Mkuu ni kweli kama huna uhakika wa ada St joseph sio chuo rafiki kwako.Lakini hiki chuo wanafundisha kinoma pia discpline ya hali ya juu inahitajika sana.

Dah Mkuu Siyo Siri Napatwa Na Mawazo Sana.Kukurupuka Na Kujaza Vyuo Bla Kuwajulisha Wazaz Ni Ktendo Kbaya Sana Nimeanin Na Najuta Pia...Hivi Transfer Naweza Kufanikisha Kweli Mkuu?
 
O-lvl private, A-lvl gvmnt, nmechaguliwa electroncs and communications engineering vipi apo mkopo ntapata kama asilimia ngap hv
 
[QUaOTE=tzbway;14188108]Wale tuliochagulia collage of engineering na sie tukutane apa tujuzane mawili matatu. kabla ya tarehe ya registration[/QUOTE]

uzi unakufa wadau kimya
 
[QUaOTE=tzbway;14188108]Wale tuliochagulia collage of engineering na sie tukutane apa tujuzane mawili matatu. kabla ya tarehe ya registration

uzi unakufa wadau kimya[/QUOTE]

Wadau Vip Kuhusu Room. Kitaa Nackia Watu Wameshawashikia Watu Wenzao So Ni Bora Kufanya Mapema Kutafta Room Kwa Wale Wenzangu Wa Ktaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…