The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 828
- 2,108
Siyo kwamba wanafunzi ni bright Ile wao wanachukua wanafunzi ambao ni " fast learners" hivyo walimu wana kazi ndogo. Kama Mwanao ni " slow learner" basi mpeleke kwenye shule ya kawaida yenye walimu waliobobea, atafanya vizuri tu.Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana?
Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis
Hivi St.Francis inahitaji promo kweli? Mkuu kama mtoto wako ni slow learner hata uwe tayari kulipa 10M kwa mwaka hawezi pata nafasi, wala usihangaike kumpeleka pale,maana hata huo mtihani wa kuingia pale hatofaulu.Unadhani Wazazi hawapendi Watoto wao wasome pale?Promotion inalipiwa😅
Biashara Ina Miiko YakeHiyo ni siri ya kibiashara, hatuwezi kukuambia
😔 Zama zetu zimepita mkuu.Ina maana kumi bora wavulana wawili tu ?
Muone maskini huyu yaani mtu apige misonge 7 au 9 alafu utwambie hajui vihesabu labda vya Factorization!!!? Acha uongo wewe tafuta hela!! Alafu mtu sometimes hawezi kujua kila kitu!!!Wanafunzi wa private wasikutishe mkuu,
Kuna demu mmoja alipita one ya 10 kipindi tunamaliza sasa tukawa tunasoma nae tuition ya advance aisee alikuwa vitu vingi vidogo vidogo havijui tukawa tunashangaa na washikaji hyo one kaipataje ila private labda kwa mtoto kuongea English ila kwa uwezo wa darasani shule za serikali zipo juu.
Wakuu kuna shule moja inaitwa St Joseph ipo maeneo ya Mbezi nasikia na yenyewe inafundisha hatari na ina malezi mazuri kwa wanafunzi, hata mwanafunzi awe mtukutu vipi akienda pale siku akirudi nyumbani unaweza kumkataa kwa kudhani labda umebadilishiwa mtoto. Nani anaifahamu vizuri shule hii wandugu? Nataka nimpeleke dogo akapige interview pale.Katika kumi bora,wanafunzi saba wote wanatoka st Francis ya Mbeya.Nini Siri ya mafanikio ya shule hii ni walimu au ni wanafunzi wanaoenda pale wako bright sana?
Watahiniwa 10 bora Kidato cha 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis
Spoon feeding upate A 10? Be serious please.Spoon feeding