Una uhakika mkuu!? Usipotoshe umma kwa habari usiokuwa na hakika nayo.Ndo maana wapo UWT hapo Ikulu ila ni Warwanda
Raia wa kuandikishwa anapewaje nafasi nyeti ya ukuu wa shirika kubwa la NSSF? Only in Tanzania!!!!View attachment 327562hawako la kusema
I agree with you totally 100%!!!Kuna nafasi zinataka Tanzania nationals by Birth ndiyo maana wamemtema.
Raia wa kuandikishwa anapewaje nafasi nyeti ya ukuu wa shirika kubwa la NSSF? Only in Tanzania!!!!
Such details. Nilikuwa siamini kama anaweza kuwa sio raia lakini hawana wananifanya ni doubt. Wao wanahusikaje na yeye kukana uraia wa Uganda. Hiki kitu huwa hakiko kwenye mjadala.View attachment 327562hawako la kusema
Wewe na utanzania wako wa kuzaliwa umeisadia nini nchi yako?? Sana sana wewe ni mzigo kwa nchi hii. Acha watu wafanye kazi kuleta maendeleo ya nchi.Raia wa kuandikishwa anapeaje nafasi nyeti ya ukuu wa shirika kubwa la NSSF? Only in Tanzania!!!!
....mzee basil mramba na mwenzie daniel yona ni watanzania hata kwa kuzaliwa...masamaki wa TRA, na wenzake wengine wengi wa aina hiyo ni watanzania hata kwa kuzaliwa!....bado haujafika muda ktk masuala yanayohusu taifa letu, tuwe tunaleta hoja "pevu"?...na sisi humu(ktk JF) tunataka tuwe na hoja koko na mbichi kama za baadhi ya wengi wa wakilishi wetu bungeni?Raia wa kuandikishwa anapewaje nafasi nyeti ya ukuu wa shirika kubwa la NSSF? Only in Tanzania!!!!
Mkuu pia tumewahi kuwa na katibu mkuu wa FAT (Chama cha mpira wa miguu enzi hizo) ambaye hakuwa Mtanzania...tumeshapata kuwa na Jaji Mkuu ambaye siyo Mtanzania.
..tumewahi kuwa na mkurugenzi wa mashtaka[dpp] siyo Mtanzani, alikuwa mkimbizi toka South Rhodesia[zimbabwe].
..tumewahi kuwa makamu mkuu wa chuo kikuu siyo Mtanzania.
..tumewahi kuwa na mhariri wa magazeti ya serikali siyo Mtanzania.
..tumewahi kuwa na mkurugenzi mkuu wa Tanroads siyo Mtanzania.
..kabla ya kumshambulia huyo mama tuletee kipengele cha sheria kinachokataza raia wa tanzania wa kuandikishwa kuongoza shirika la umma kama nssf.
cc Pohamba
Sijui iko kifungu husika lakini kama wewe siyo raia lazima uwe na work permit ili ufanye kazi. Kibali cha kuishi unakipata kwa vile umeolewa na mtanzania. Huu utaratibu uliorudishwa na Magufuli unataka mgeni apite wizara ya kazi ambao watathibitisha hiyo nafasi haiwezi kuzibwa na mtanzania...tumeshapata kuwa na Jaji Mkuu ambaye siyo Mtanzania.