mwana siasa
Senior Member
- Aug 28, 2007
- 119
- 6
Haya wadau wale wenye kuhitaji kazi kwenye mifuko ya hifadhi za jamii ,kazi zimetoka SSRA.japo nimeshindwa kuifungua unaweza angalia kwenye website yao www.ssra.go.tz kisha ingia upande wa employment.Nawatakieni kila la kheri.