Mtu anajua wastani wa mtanzania kuishi ni miaka 55 halafu anasema ukifikisha miaka 60 ndio uje uchukue mafao yako, sina maana kua watz wote wanakufa beyond 55 yrs ila......
Huwa natafakari na kujiuliza "hivi tuliowaweka mbele "na kuwaita viongozi ni watu kama sisi au la?
Jibu sijalipata ,japo tangu 2015 nilianza kuhisi kuwa sivyo! Maana yanayotokea tangu 2015 yafaa kuwekwa katika maajabu ya Dunia.(si ktk uchumi,siasa,utawala au mahusiano ya raia). NI UBAYA MTINDO MMOJA
Shame on you Irene Kisaka. Shame on you the comic Jenister 'Mchezangoma' Shame on you wabunge Tz. Ole wenu wanachama wafe kabla ya kuchukua fedha zao NSSF. Vipi Erio, Sanga hamna haya kula pesa za wafanyazi masikini! Cursed the lousy status quo