Yaani tumfanyie kazi Irene Kisaka? No no no no. Ingawa ni mzuri kwa sura nasikitika kusema I hate her!! .... Sioni kazi ya SSRA! Nilitegemea Magufuli angeifuta mamlaka hii lakini wapi. Serikali inayotaka kusimama kwa kuiba fedha za wanyonge ni Serikali inayojitakia làana. Wangesema tu kwamba wanachokata nssf ni kodi na sio akiba ya mfanyakazi. Je Utawala huu una mpango wa kuua watu wake ili ijichukulie fedha za NSSF nk kiulani?
Acheni ujinga bwana mtu akiacha kazi alipwe fedha zake zote. Hizo zingine porojo tu. Shame on you... Mbona nyie wabunge kama Jenister Mhagama mkimaliza muda wa miaka mitano bungeni mnachukua mamilioni yenu faster....
Hawa wenye laki moja bado mnataka kuwasumbua... You are monsters/ nyambuda...