Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Halafu pesa za kununua wapinzani kwa pesa ipiSerikali ilipaswa kurizika na kodi wanayopata kwa mwezi tena kodi yenyewe anayokatwa mfanyakazi ni kubwa mno,wakaona haitoshi wakaamua kuchukua tena na hiyo michango ya mlala hoi.
Upunguze upumbavuSUBIRINI MSUMARI UINGIE MMEWAPELEKA WENYEWE
Dawa ya Sheria kama hizo ni Mahakama. Tujifunze kufungua kesi mahakamani kwa ajili ya kupinga sheria kama hizo, kuaamikia humu mitandaoni aafu mnachagua wabunge wa ccm wengi hakuta saidia[/QUOT sure thing
Kuna tatizo mahala,nashangaa hata viongozi wa vyama vya wafanyakazi wapo kimya tu.Fedha zetu zimekua za kufanyia chaguzi zisizo na kikomo na kuna mtu mmoja amekua akitembea na maburunguti ya fedha huku akigawa barabarani apendavyo hizo ni fedha zetu tulizopaswa kulipwa.Nchi yawiziiikwann wanachukua pesa zetu hakuna sheria ya kukataa kuwekewa pesa si bora uweke kwenye kibubu naapa ukifa watoto wako hawapsti HII pesa serikali ya Tanzania ni wezi
Kuna tatizo mahala,nashangaa hata viongozi wa vyama vya wafanyakazi wapo kimya tu.Fedha zetu zimekua za kufanyia chaguzi zisizo na kikomo na kuna mtu mmoja amekua akitembea na maburunguti ya fedha huku akigawa barabarani apendavyo hizo ni fedha zetu tulizopaswa kulipwa.
Kwa nini LAPF hujawaweka ktk list yako?Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani ma
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako. Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!?
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani? Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeanza kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?
Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo. Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi. Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
Huyo judge huko kateuliwa na jiwe, ataambiwa ole wako.....Dawa ya Sheria kama hizo ni Mahakama. Tujifunze kufungua kesi mahakamani kwa ajili ya kupinga sheria kama hizo, kuaamikia humu mitandaoni aafu mnachagua wabunge wa ccm wengi hakuta saidia
Hawa wahudumu..... kwanza kama pale millenium tower majibu kama mashetani, halafu Jana nimewasikia walisema wazi kuwa walioachishwa kazikuanzi tarehe 1.8.2018 hawatapewa mafao badala yake watafute kazi mpaka wapate waendele kuchangia
Eneo hili lina huduma mbaya sana unaenda unaambiwa maneno ya kipuuzi wakati ni pesa zako kwanini wanatulazimisha tuweke.pesa zetu kwenye mamifuko yao huu ni wizi wa hali ya juu nchi HII nachelea kusema.inalaana
Huo utaratibu wa kusubiri sijui miaka 80 wafanye kwa wenye mamilioni 100 huko. Watu wa hela za mboga kama mil. 50, 20, mil moja hadi laki walipwe haraka. Kadri inavyozidi kuchelewa ndivyo inavyoshuka thamani.
Alas!! SSRA chini ya Irene, PPF chini ya Eliud na NSSF chini ya Erio wanatengeneza 'mv Nyerere ya kimyakimya' !!! If you know what I mean.....
Irene Isaka akatafute kazi nyingine kabisa,Upuuzi aliofanya utakuja kumrudia yeye na familia yake,anafurahia Mshahara mnono wa mil 15 kwa mwezi kwa kuumiza walala hoi wanaovuja jasho masaa 12 kwa siku kwa mshahara wa laki na nusu kwa mwezi? Walala hoi wanaokoga vumbi la cement viwandani,walala hoi wanaoiva kwa joto la nondo kiwandani,walala hoi wanavuta hewa ya sumu chini ya ardhi migodini,walala hoi wanaipigwa na jua masaa 12 wakitengeneza miundombinu,hao walala hoi wenye mikataba ya muda mfup wanategemea vimilioni vyao viwili walivyouksanya viwasaidie kanzisha hata biashara ndogo ndogo endapo mkataba ukiisha eti Irene Isaka na Genge lake la WAVIMBA MATUMBO kwa Mishahara ya zaidi ya milioni 10 kwa mwezi wanazuia eti wasipate mpaka watimize miaka 55.Najua wafanyazi wana hasira sana na hiyo mishirika ya hifadhi ya jamii. Alaaniwe SSRA anayejaribu kula na kuvimbiwa hela ya wafanyazi wanyoooonge. Irene umeishauri vibaya gvt lisheria hilo halina mashiko wala makalio.
Usiniambie upuuzi sitazeeka na huku ni wizi tu warithi wetu wala hawatapata hizi pesaLipa kodi kwa maendeleo ya nchi yako.
Weka akiba kwa ajili ya uzee wako.
Ale wa east Africa mpaka wamekufa hawajaona ndururuKumwambia mtu ati asubiri hadi miaka 55 ndipo alipwe pesa zake mwenyewe mimi sielewi maana yake nini.
Eti zitamsaidia akizeeka!! Toka lini Serikali imeanza kujali wazee wanyonge? Ni ujinga. Ni unafiki. Ni ulaghai.
Hivi Irene kwa nini unipangie when kutumia hela yangu lakini? Mtu asubiri miaka 60 kulipwa laki moja? Kweli? Mna 'raana' nyie. What a lousy, hopeless Gvt......... gang of robbers.