othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,524
- 11,860
Wekezeni kwenye kubeti tu mtatoboa, imagine ss hv M-BET dau limefikia million 140, sports pesa million miatatu na ushenzi Fulani hv, 3 mzuka dau limefika million 200, hapo sijagusia biko, tusua Mapene, insta moja, meridian, premier bet, princess nk...
hv ujasiri wa kufanya kazi awamu hii mnautoa wp enyi wadanganyika?
Chukua karatasi yako na peni tandika ubashiri wako kwa kutulia... Mshiko njenje....
Sasa nyie endeleeni kulia lia huko wkt mifwezwaa ya bulebule inamwagwa kila leo,
Wewe pinda mgongo huko kwa kufanya kazi, Mwl.endelea kuoga vumbi la chaki, kibosile wacha ac za maofisini ziendelee kumaliza mfumo wa upumuaji uone kama hiyo hela ya mafao kama hata utaikaribia nn kuipata..
Ahsanteni kwa kunisoma