Sserunkuma Atakuwa Kama Tambwe

Mr. SADC_TZ

Senior Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
105
Reaction score
22
-Ujio wa mshambuliaji mpya wa Simba SC, Daniel Sserunkuma unaibua maswali mengi kweli.Kutokana na Taswira ya ushindani ktk ligi yetu...je ataweza kuhimili changamoto za VPL.
-Kama Ushindani ktk ligi.
-Presha kutoka kwa mashabiki ya kumtaka afunge goli kila mechi.
-Sifa kutoka kwa Magazeti ya Udaku.

-Au tutegemee kama yaliyomkuta Mwenzake Hamisi Tambwe.
Msimu wa kwanza tu ..kawa Top scorer.... kashiba sifa kutoka kwa mashabiki na magazeti...sifa zikazidi..basi ndio kiwango kimeporomoka...!na hatimaye baada ya msimu mmoja arudi Gor Mahia.
 
Kama sifa za magazetini, basi yanga ni kama wamenunua waandishi! Hebu tujikumbushe yaliyoandikwa kuhusu Jaja:
Jaja afunika mazoezini!
Jaja hapatoshi!
Jaja ni sheeeda!
Jaja haijapata tokea!
Nani kama Jaja!

Sasa badala ya kumzungumzia Tambwe aliyeng'aa walau msimu mmoja, hebu mzungumzie Jaja ambaye kuna mechi aligusa mpira mara nne dakika 80. Vivyo hivyo badala ya kumzungumzia SSerunkuma, hebu mzungumzie Emerson ambaye kwenye mazoezi yupo kikosi cha pili!
 
Sserenkuma mchezaji. Nashukuru simba kufanyia kazi ushauri wangu. Nilimwambia tangu ule usajili mkubwa uliopita tuachane na Kiongera kumchukue Dan 'Mzee' sserenkuma. Sijui kilitokea nini lakini nadhani wameliona sasa. Am happy
 

Mkuu lakini kumbuka huyu dogo ni kaanduje...kataweza kweli mikiki mikiki ya kina yondani na canavaro....mhhh...sijui lakini.
 
Sserenkuma mchezaji. Nashukuru simba kufanyia kazi ushauri wangu. Nilimwambia tangu ule usajili mkubwa uliopita tuachane na Kiongera kumchukue Dan 'Mzee' sserenkuma. Sijui kilitokea nini lakini nadhani wameliona sasa. Am happy

Lakini mkuu ndio musahau magoli ya vichwa tena...maana huyu andunje wenu sijui atamsumbua nani...!
 
Mkuu lakini kumbuka huyu dogo ni kaanduje...kataweza kweli mikiki mikiki ya kina yondani na canavaro....mhhh...sijui lakini.

Je Yondan na Kanavaro ni warefu kuliko mabeki wote wa ligi ya Kenya . Mbona unaandika pointless, Messi mbona ananatesa SPAIN ni ngongoti. Nyie mlisajili Ngongoti Shikokoti liwafanyia nini?
 
Napitathu Sijui mkomboziwashafunga??
 
Uongozi wa Aveva umeamua kutufanyia kituko kingine ndugu zangu...huu usajili wa haka kachezaji kafupi...sina uhakika nao..simply because kachezaji kaliongoza kwa magoli kwenye kaligi ka kenya sasa nao simba ndio wameona mlango wa kupitia...haka kachezaji ni kafupi kwelikweli...nilikaona pale msimbazi kalikuwa kanaingia ndani kumwaga wino.

Najiulizaga hivi kweli kataweza kuwakabili akina Canavaro na Yondani.

kusema kweli simba yangu ya nsimuu huu ni Ashki Majnuni.Ngoja niende kwa mtani Yanga (kwa mkopo)...hadi msimu huishe.
 
"...Sserunkuma ana tuzo za mfungaji bora wa ligi ya KPL kwa misimu miwili mfululizo iliyopita. Mwaka 2012 pia alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa KPL. Mwaka 2013 alichaguliwa na Chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Uganda kuwa mchezaji bora wa mwaka nchini Uganda, akimshinda Tony Maweje anayecheza ligi ya Norway... Pia ni tegemeo katika timu ya taifa lake..."

NB: Kandambili itabidi mjipange sawa sawa trh 13/12/2014 kupambana dhahama la huyu fundi.

Naendelea kujisomea profile ya huyu fundi wetu mpya.
 
Je Yondan na Kanavaro ni warefu kuliko mabeki wote wa ligi ya Kenya . Mbona unaandika pointless, Messi mbona ananatesa SPAIN ni ngongoti. Nyie mlisajili Ngongoti Shikokoti liwafanyia nini?


Dah mkuu usitake kuchekesha watu humu jamvini...hivi kweli sio dhambi kubwa kumfananisha Sserenkuma na Mungu wa soka
(Messi).

Usijaribu tena mkuu...mwishowe utajikuta unavaa soksi zako kichwani ukafikiri kofia.
 
Mboob ndp nani mkuu.....!

Mboom ni kiungo mshambuliaji "matata sana" toka Gambia, ambae ametua Simba Sc kwa majaribio. Mambo yakienda sawa, tutampa mkataba, ili achachafye dimba akisaidiana na Mtalaamu Mkude.
 

We jamaa ni serunkuma kabisa kwa iyo unataka wamsajili hasheem thabeet au?
 
Mr. SADC_TZ kwani mpira huchezwa angani tu? Kenya kwenye mabeki ngongoti kama Shikokoti kawasumbua sana, iweje awashindwe mbilikimo wa Kandambili?
Subiri Mtani Jembe ndo utaona atawafanya nini nyinyi Kandambili. Na hatukuhitaji tena Msimbazi, ubaki huko huko.
 
Last edited by a moderator:
We jamaa ni serunkuma kabisa kwa iyo unataka wamsajili hasheem thabeet au?


Angalau na sisi tuende brasil tukatafute mastaa...bwana.....! huyu dogo haiwezi hii ligi...ligi ya wandava...!

labda lets wait and see, time will tell.!
 

Mkuu ligi ya kenya ni sawa na ligi daraja la pili hapa Tanzania in terms of competativeness......!
so ligi yao ni nyepesi sana ...hata kama Tambwe akienda kule na kiwango chake alichokuwa nacho sasa hivi bado atawa-sumbua sana.

Ligi yao mbovu in short.! dah huyu Andunje sasa sijui itakuwaje....hukumuona alivyo kuja na timu yake kwenye moja ya pre season match hapa Tanzania...!

Jamaa sijui ataenda wapi ligi ikiisha...Mashabiki wa mpira pesa watamtaka ashindi kila mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…