Ila mkuu umenitisha kwa hiyo 1GB speed,hiyo 1GB speed ni ya kampuni nzima au inakuwaje?au ni 1GB per day au ni 1GB LAN speed?? kama ni 1GB/sec lazima kutakuwa na Distribution list au Routing map yeyote ambayo wamefanya ili kuwanyima baadhi ya watu uhondo(huwa tunatumia hii katika kuhakikisha kati ya hiyo 1GB ni wachache ambao wataweza kuipata kikamilifu? kwani kwa 1GB/sec ungeweza kuidownload hili file kwa less than 10sec,hapo nimejumlisha limita ambazo server ya hawa jamaa wanaweza kuiweka.Mimi ninatumia kama 1Mb/sec ukiongezea utundu fulani ninaweza kuupload hili file kwa less than 30min,na kudownload ni less than 10mins,kumbuka downloading speed ni kubwa kuliko uploading kwa ISP wengi.
So kama Vp check na ISP wako uangalie je hakuibii???