SQL 2005 error...naomba msaada

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
"An error has occurred while establishing a connection to the server. When connecting to SQL Server 2005, this failure may be caused by the fact that under the default settings SQL Server does not allow remote connections. (Provider: Named Pipes Provider, error: 40 - Could not open a connection to SQL Server) (Microsoft SQL Server, Error: 2)"

Ni message amabyo niliipata kutoka kwenye SQL server management studio nilipotaka kujua kuna nini kwa kuwa network clients wanakuwa denied wanapojaribu kuconnect kwenye database.
 
Kwanza awali ya yote pole kwa hiyo bug kwani napata picha jinsi gani moyo unavyouma unapokutana na bugs,kwa kuanzia angalia setting kama hawa jamaa wanavyoshauri http://support.microsoft.com/default.aspx?scid=kb;EN-US;914277 kama ipo sawa na bado tatizo linaendelea,je uliwahi kuuninstall SQL server na kuinstall tena?? hili tatizo mara nyingi hutokea endapo utauninstall na kuinstall SQl server,so ili kusahihisha unatakiwa kufanya kama ifuatavyo..(Kumbuka kuwa na backup)

Tafuta file lifuatalo(hii ni kwa vista au W7)
C:\Users\*YourUserName\AppData\Local\Microsoft\Microsoft SQL Server Data\SQLEXPRESS

Futa SQLEXPRESS Folder.

Start the SQL Server Configuration Manager

SQL Server will repopulate that folder.




Kwa mada mbalimbali za ICT Tembelea AFROIT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom