Nauza SQ C9 mchina used
Sifa: Ina double line, radio, kioo kipana, charger hata pin ndogo ya nokia inatumia,memory card slot, inaweza kurekodi maongezi,camera, inatunza meseji mpaka 170,calendar, reminder ya appointment, unaweza tegesha alarm 3 kwa wakati mmoja, torch,bluetoosh,loud speaker, screen saver, kupunguza/kuongeza mwanga(screen brightness) yaani kila kitu mpango mzima.
Tatizo: Haina tatizo kwakweli