Hizo spy pen ndiyo zile zinazorekodi dk 2? Kama ni up to 20-40 nahitaji moja,ni pm unipe maelekezo ya jinsi ya kuiptaNimepata na spy pen tatu bei elfu hamsini
Wana jf
nina spy watches saba bado mpya zipo kwenye maboksi yake na usb cable zake,zinaweza kuchukua picha,video,na mp3 kwa high quality,bei laki moja na nusu abo....,mwenye hitaji anitumie sms hapa.kabla ya jumatano hijayo make nitasafiri.
Ahsanteni
weka contact basi jamani. nahitaji spy pen.then nipe sifa zake inaweza kurekodi kwa mda gani?na inauwezo wa kurekodi video na sauti au ni sauti pekee.Nimepata na spy pen tatu bei elfu hamsini
Hizo spy pen ndiyo zile zinazorekodi dk 2? Kama ni up to 20-40 nahitaji moja,ni pm unipe maelekezo ya jinsi ya kuipta
mie ninayo spy pen. ina32gb. zipo hapo JNIA kwenye stationary ya mama mmoja wa kichaga.
Jaman i really nid this pen na mkubwa mmoja kaniambia ni 50000 ila sijajua inakua na memory card ya size gan na inauzwa sehem gan mana nahitaji kuinunua by ijumaa
ina 32 GB inarekodi video file format ya .Avi Pia inapiga picha. ntaweka picha uone.