Sijafikia level za kutumia perfumes. So for now natumia bodyspray. "Dolby" though now nishaichoka ngoja niendelee kuchunguza michango ya wengine naweza pata nzuri.
Boys huwa wanatoa comments kama hii uliotoa. Watu wanatumia vitu kulingana na uwezo wao wa kifedha au misimamo yao. Kingine wewe unaweza kujisifia unatumia cologne ya 300,000/- wakati umepigwa tu wenzio tunanunua $50. Kuna cologne kibao hapa mjini(OG) zinauzwa 150,000-200,000 lakini wenigne tunazinunua kwa $30-50 tu.