Adele kama kasema hivyo sawa ila binafsi kusikiliza kwa mpangilio wa wasanii walivyopanga baada ya muda huwa inaniboa maana najua baada ya nyimbo hii itafuata hii ... huwa nakosa element of surprise ambayo ndio naipenda
Naweza nkawa na liked songs 1K halafu napiga shuffle nakuwa kama nasikiliza radio ni raha tupu.
View attachment 2020634