Mi naona UTAMU utakuwa kwenye COKE zilee ndani ya jokofu tu!
Au kuna kitu kingine chenye utamu hapo?
Ninavyoofahamu ULIMI ndo huhisi UTAMU...
Sina uhakika kama binadamu ana kiungo kingine kinachohisi UTAMU?!
Labda ulitaka kusema wapi unaweza kupata RAHA...:becky: