SportPesa Supercup updates.

Mfano first eleven yote ya simba wachezaj wako na team zao za taifa. The same kwa yangu wachezaj 7 wote first 11 wako nje. Kingine team za bongo hazikujiandaa zilichukulia kama bonanza tuu ndo maana hata ma head coach tumewaruhusu waende kwa leave. Nyie wenzetu wa kenya kumbe mlikua mmepania sana. But all in all hongerani. Next time tuta take serious!

The difference between a successful person in life and a failure is that the failure gave excuses. Never give excuses in life
 
Fifa ranking is just a number..ila mkija kwa pitch tunawanyuka tuu. Hio rank wala isikunyanyue mabega sio issue. Tuliipiga ghana na comeroon wenye rank za juu ni ninyi apo.

Jinsi ulivyojiexpose kwa uzi huu, Kenya ikicheza na Tanzania utarudia yale yale ya Tanzania kachezesha team B.
 
Jinsi ulivyojiexpose kwa uzi huu, Kenya ikicheza na Tanzania utarudia yale yale ya Tanzania kachezesha team B.
Kwani ni Mara ya kwanza team za Kenya kukutana na timu za Tz?
I think you are old enough, and you know it. Hakuna timu za Kenya hufikia walau level za kuvutia wachezaji wa pande zote za Africa.

In reality timu zenu hazina uwezo wa kufunga Yanga/Simba/Azam. (Refer mashindano makubwa)

But I am really disappointed kwa hili la timu za bongo kutokuwa serious katika hili Bonanza,
Kucheza na Timu Kama Everton ni Bonge la Exposure.
Hongera kwa Timu za Kenya.
 
Naona watu munatambiana tu, hili bonanza timu za bongo hazikuchukulia uzito. Kwa level za vilabu, ligi ya vpl ndiyo ligi bora upande wa east Africa. Wangechaguliwa Mbao Fc,Mbeya city na kagera fc. Hakuna timu ya kenya ingefika nusu fainal. Simba na Yanga hata Azam hakuna mchezaji E.Africa hatamani kuzichezea hata hivyo kikosi cha simba chote hakikuwepo isipokuwa wachezaji watatu. Hivyo niwapongeze tu kenya kwa kuthamini na kuyapa mkazo mashindano haya. Mwakani mtabadilisha kauli hizi za kejeli.
 
Pumba tu mkishindwa mnaanza vijisababu vya ovyo. Kwanza timu iliyoshinda Simba haina sifa Kenya.
Simba hao nakumbuka waliwahi kupakatwa hata na Kagera sugar hamna kitu hapo.
 
Kwakuwa wakenya kila kitu hujifanya munajua,shishangai pumba munazoandika humu.
 
Kwakuwa wakenya kila kitu hujifanya munajua,shishangai pumba munazoandika humu.

Sio kujifanya tu, ni kweli tunajua na hilo lipo na linafahamika kwamba Wakenya tunajua. Ndio maana Mkenya anaingia chuo kikuu baada ya kidato cha nne, ila Mtanzania inabidi hadi afikie kidato cha sita, na hatimaye wote wakiwa na vyeti vya shahada unakuta bado Mkenya yuko juu.
 
hahahaha PREACH. These sore losers are always looking for excuses, always looking for scape goats, they never admit defeat, they just CANT win. That loser mentality is ingrained in their DNA, except for a few exposed ones, they'll never match up to us unless they change their perspective and fold their sleeves and get dirty. Tanzania is one of the richest countries (natural resources wise) in Africa but still plays second fiddle to countries with zero resources, small arable land, political uncertainity, corruption... WHAT IS WRONG WITH YOU PEOPLE????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom