Sponsorship za vyuo vya kilimo

Jerry santonga

JF-Expert Member
Oct 12, 2014
644
553
Habarini wadau kuna vyuo vya kilimo mf. Igirusi Mbeya wametoa sponsorship kwa ngazi ya diploma.

Hivi mtu akipata hiyo je anaweza akaajiriwa ama soma uondoke, tafadhali wenye kujua hili waje kunipa ushauri maana hapa mdogo wangu awahi deadline.

AHSANTE NA KARIBUNI KWA MICHANGO YA MAWAZO KWA WENYE UZOEFU
 
Mkuu hujui kwamba kila kukicha mambo hubadilika? How can you predict status ya ajira miaka miwili au mitatu ijayo? BTW, ni lazima kila msomi ategemee soko la ajira? Huoni kama kusomea kilimo ni fursa tosha ya mtu kujiajiri? Nashauri ngoja kwanza amalize shule hayo mengine yatafuatia baadae. Thanks
 
nimekupata japo kidogo hujanipata ni hv dogo amesha kwama yan kidato cha tano hamna ana ma D D ya kufa mtu
 
Igurusi wanatoa diploma 2 yaan irrigation na Land use planning zote hizo zinaitaji aliesoma masomo ya sayansi advance na angalau Division IV au astashada ya kilimo + D 4 za sayansi pale 4m4 .

Back to the topic, kozi kama irrigation znafanya mhusika asikae bure mtaani kama sio serikalini kuna makampuni mengi yanawahitaji watu hawa pia yy mwenyewe anaweza kujiajiri kwa mtaji kidogo mdogo sana. Mimi pia nipo chuoni hapa Igurusi with a long way plan baada ya kutoka hapa.
Japo Sera ya serikali inasisitiza kilimo cha umwagiliaji na wataalam hawatiahi, mm natamani ajira zichelewe kidogo nikafanye mambo mtaani angalau kwa mwaka mmoja tu.
 
mkuu vp hapo igurusi kuna wanasoma chini ya udhamini wa serkali kama nacte walivyoonesha kwenye guidebook yao?
 
Igurusi wanatoa diploma 2 yaan irrigation na Land use planning zote hizo zinaitaji aliesoma masomo ya sayansi advance na angalau Division IV au astashada ya kilimo + D 4 za sayansi pale 4m4 .

Back to the topic, kozi kama irrigation znafanya mhusika asikae bure mtaani kama sio serikalini kuna makampuni mengi yanawahitaji watu hawa pia yy mwenyewe anaweza kujiajiri kwa mtaji kidogo mdogo sana. Mimi pia nipo chuoni hapa Igurusi with a long way plan baada ya kutoka hapa.
Japo Sera ya serikali inasisitiza kilimo cha umwagiliaji na wataalam hawatiahi, mm natamani ajira zichelewe kidogo nikafanye mambo mtaani angalau kwa mwaka mmoja tu.
mkuu vp kuhusu hyo kozi ya LAND USE PLANNING iko poa ktk ajira?
 
jamani mimi ninatatizwa na taarifa ya NACTE kuhusu wale waliokosa kuchaguliwa katika vyuo walivyoomba eti ni KUKOSA NAKALA YA MATOKEO. Je katika form ile kuna sehemu ya nakala ya matokeo? naombeni msaaada ndg zangu.
 
mbona hamna blaza masystem.yao yakiduanzi
 
Habarini wadau kuna vyuo vya kilimo mf. Igirusi Mbeya wametoa sponsorship kwa ngazi ya diploma.

Hivi mtu akipata hiyo je anaweza akaajiriwa ama soma uondoke, tafadhali wenye kujua hili waje kunipa ushauri maana hapa mdogo wangu awahi deadline.

AHSANTE NA KARIBUNI KWA MICHANGO YA MAWAZO KWA WENYE UZOEFU

Hee, shule hata hujaanza unafikiria kazi!
Ukifail je itakuwaje? wewe soma kwanza mengine ni matokeo.
 
jamani mimi ninatatizwa na taarifa ya NACTE kuhusu wale waliokosa kuchaguliwa katika vyuo walivyoomba eti ni KUKOSA NAKALA YA MATOKEO. Je katika form ile kuna sehemu ya nakala ya matokeo? naombeni msaaada ndg zangu.
mkuu kama una basic au technician certificate unapaswa uiupload ili uongeze sifa maanA wao wana database ya o'level na A*level tu
 
mkuu vp kuhusu hyo kozi ya LAND USE PLANNING iko poa ktk ajira?
Waliopita hapo hiyo coz wanaiita LUP usiijaribu kuisoma.... Km unategemea ajira zitoke uombe utasugua sana bench...hautaona ajira na ukitaka kujiendeleza ardhi university watakukataa, itabidi tu ubadili ukapige mambo mengine..
 
Back
Top Bottom