are you referring to this mama?Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).
Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza ladha ya kissing.
Hivi binadamu kaamua kwenda mile hii just for kissing?
Kuna sababu zingine pia kama kujipima endurance, kujipambanua, spiritual connection.
Duh, dunia ina mambo
The tongue is also a speech organ. Can you split it without affecting your speech perfection? Seems idiotic to me. A sign of spiritual emptiness.
mhh!!! hayo nawaachieni nyie wa 'kisasa'. I'm too old fashioned to do that and I cant imagine kissing my lover like that.Hiyo hiyo
Naangalia utaratibu wa kuifanya ili niongeze mvuto
mhh!!! hayo nawaachieni nyie wa 'kisasa'. I'm too old fashioned to do that and I cant imagine kissing my lover like that.
mhh!!! hayo nawaachieni nyie wa 'kisasa'. I'm too old fashioned to do that and I cant imagine kissing my lover like that.
Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).
Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza ladha ya kissing.
Hivi binadamu kaamua kwenda mile hii just for kissing?
Kuna sababu zingine pia kama kujipima endurance, kujipambanua, spiritual connection.
Duh, dunia ina mambo
We asali ya ODM unapotea njia ujue.....