Split Tongue: enhanced kissing for the giver and receiver

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,162
Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).

Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza ladha ya kissing.

Hivi binadamu kaamua kwenda mile hii just for kissing?

Kuna sababu zingine pia kama kujipima endurance, kujipambanua, spiritual connection.

Duh, dunia ina mambo
 
Bahati mbaya nina hasira!
"
Arsenal wameshafungwa goli moja na hali sio nzuri.
"
Nahisi kama sielewi hapa,naona nyota tu!
 
Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).

Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza ladha ya kissing.

Hivi binadamu kaamua kwenda mile hii just for kissing?

Kuna sababu zingine pia kama kujipima endurance, kujipambanua, spiritual connection.

Duh, dunia ina mambo
are you referring to this mama?
20050726-dustin.jpg 200601280241-pix1.jpg
 
The tongue is also a speech organ. Can you split it without affecting your speech perfection? Seems idiotic to me. A sign of spiritual emptiness.
 
Wengine wanafanya kwa ajili ya spiritual connection, wee unaongelea emptness gani tena?

The tongue is also a speech organ. Can you split it without affecting your speech perfection? Seems idiotic to me. A sign of spiritual emptiness.
 
Hiyo hiyo

Naangalia utaratibu wa kuifanya ili niongeze mvuto
mhh!!! hayo nawaachieni nyie wa 'kisasa'. I'm too old fashioned to do that and I cant imagine kissing my lover like that.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nasemaga, ni bora kupinda ukiwa kijana

Ila wazee kama akina Asprin, Bishanga na Dark City wakipinda ni ngumu kuwarekebisha
Kuna siku Babu DC alipewa somo na EMT aakaweka mpira kwapani

Sasa mie nimeamua kupinda uzeeni lol

mhh!!! hayo nawaachieni nyie wa 'kisasa'. I'm too old fashioned to do that and I cant imagine kissing my lover like that.
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nasemaga, ni bora kupinda ukiwa kijana

Ila wazee kama akina Asprin, Bishanga na Dark City wakipinda ni ngumu kuwarekebisha
Kuna siku Babu DC alipewa somo na EMT aakaweka mpira kwapani

Sasa mie nimeamua kupinda uzeeni lol

mhh!!! hayo nawaachieni nyie wa 'kisasa'. I'm too old fashioned to do that and I cant imagine kissing my lover like that.
 
Last edited by a moderator:
Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).

Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza ladha ya kissing.

Hivi binadamu kaamua kwenda mile hii just for kissing?

Kuna sababu zingine pia kama kujipima endurance, kujipambanua, spiritual connection.

Duh, dunia ina mambo

Mambo sio kidogo, kama Mike tyson amekuwa Mwanamke hakuna linaloshindikana!! huyu ndio mwanadamu bana!
 
Haya ndiyo mambo gani tena Kongosho??

Ila kwa mwendo huu kazi mnayo, msipokuwa makini mtachanganyikiwa kwani mtakata na kupasua hadi mkose kitu kingingine cha kutoboa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom