Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,163
Jamani ukistaajabu ya Musa utaona ya tongue bifurcation(splitting).
Kuna hii kitu ya ku-split tongue, mojawapo ya sababu zinazowafanya watu wapitie mchakato huu mgumu ni pamoja na kuongeza ladha ya kissing.
Hivi binadamu kaamua kwenda mile hii just for kissing?
Kuna sababu zingine pia kama kujipima endurance, kujipambanua, spiritual connection.
Duh, dunia ina mambo