Hakuna kanisa wala Sala itakayo kuokoa, hakuna mtu mwingine atakaye kusaidia. Inabidi ujishinde kwanza mwenyewe. You need to control the body and mind first... Then the soul will take heed and let you out of the prison.✍🏿💪🏿Katika hali ya kawaida kabisa kuna vitu vinatokea maishani mpaka Unashindwa kupata jawabu...
Vita ya kiroho ni moja ya vita mbaya sana. It weakens the soul.
Mwili na akili vyote hushindwa kupata jawabu because haziwezi ku detect.
Kuna kipindi katika maisha yangu hasa katika ukuaji nilikumbwa na dark knight of the soul. Ilikuwa hatari sana.
Nilikuwa naota ndoto mbaya sana, mfano unaota kama kuna kitu kimekukamata ila sasa ni kuwa yaani kimekufanya ujihisi kama ume paralyze flani hivi. Unakosa nguvu na unakuwa submissive kwake.
Sio ndoto tu... Katika uhalisia wa maisha halisi unakuwa kama haupo vile, yaani unajua unajua kabisa you are more than who you are but huwezi kufanya lolote kupiga hatua.
Hii ni spiritual warfare, yaani ni kama kuna kuwa na matambiko yamewekwa na wachawi kukufanya reality yako ionekane huna potential yoyote.
Najua kuna watu watabisha ila trust me... The devil knows you more than yourself. Na hapo ndo utakuta mtu yupo kwenye wimbi la kurudia tabia chafu kama ulevi, punyeto na umalaya.
It's no coincidence, na hii inaweza kurithishwa kwa damu pia. Wengi hasa sisi waafrika wana mikosi ndani ya damu zao. Yaani Aura yako inakuwa tinkered na wachawi. Wanakuharibia kabisa destiny yako.
Unakuwa ujishika kitu lazima kiharibike tu. Unakuwa una attract majanga mpaka basi. Yaani neno nuksi linakuwa msamiati wa kawaida sana. Katika safari ya kujiokoa inabidi utambue thamani uliyonayo lazima urudi ndani kabisa uanze kama ulivyokuwa mchanga.
Spiritual warfare is real... Na spirit doesn't necessarily has to be witchcraft inaweza kuwa tu umerithi vitu kutoka kwa Mababu zako so vinaplay out kupitia wewe.
Hakuna kanisa wala Sala itakayo kuokoa, hakuna mtu mwingine atakaye kusaidia. Inabidi ujishinde kwanza mwenyewe. You need to control the body and mind first... Then the soul will take heed and let you out of the prison.
And that's it mkuu mshanaHakuna kanisa wala Sala itakayo kuokoa, hakuna mtu mwingine atakaye kusaidia. Inabidi ujishinde kwanza mwenyewe. You need to control the body and mind first... Then the soul will take heed and let you out of the prison.✍🏿💪🏿
Daah 😂 kwa hiyo unadhani subconscious mind inaoperate hivyo..Ukiota kuna likitu limekukamata kawa wewe una uwezo mkubwa wa kiakili na unafanya meditation kila siku , unaweza libadilisha ndani ya ndoto na kuota hilo li kitu unalipa mashine kwa raha kabisa
Ndiyo. Na sala iwe sala nzuri ya kukiri uweza na sio udhaifu.Katika hali ya kawaida kabisa kuna vitu vinatokea maishani mpaka Unashindwa kupata jawabu...
Vita ya kiroho ni moja ya vita mbaya sana. It weakens the soul.
Mwili na akili vyote hushindwa kupata jawabu because haziwezi ku detect.
Kuna kipindi katika maisha yangu hasa katika ukuaji nilikumbwa na dark knight of the soul. Ilikuwa hatari sana.
Nilikuwa naota ndoto mbaya sana, mfano unaota kama kuna kitu kimekukamata ila sasa ni kuwa yaani kimekufanya ujihisi kama ume paralyze flani hivi. Unakosa nguvu na unakuwa submissive kwake.
Sio ndoto tu... Katika uhalisia wa maisha halisi unakuwa kama haupo vile, yaani unajua unajua kabisa you are more than who you are but huwezi kufanya lolote kupiga hatua.
Hii ni spiritual warfare, yaani ni kama kuna kuwa na matambiko yamewekwa na wachawi kukufanya reality yako ionekane huna potential yoyote.
Najua kuna watu watabisha ila trust me... The devil knows you more than yourself. Na hapo ndo utakuta mtu yupo kwenye wimbi la kurudia tabia chafu kama ulevi, punyeto na umalaya.
It's no coincidence, na hii inaweza kurithishwa kwa damu pia. Wengi hasa sisi waafrika wana mikosi ndani ya damu zao. Yaani Aura yako inakuwa tinkered na wachawi. Wanakuharibia kabisa destiny yako.
Unakuwa ujishika kitu lazima kiharibike tu. Unakuwa una attract majanga mpaka basi. Yaani neno nuksi linakuwa msamiati wa kawaida sana. Katika safari ya kujiokoa inabidi utambue thamani uliyonayo lazima urudi ndani kabisa uanze kama ulivyokuwa mchanga.
Spiritual warfare is real... Na spirit doesn't necessarily has to be witchcraft inaweza kuwa tu umerithi vitu kutoka kwa Mababu zako so vinaplay out kupitia wewe.
Hakuna kanisa wala Sala itakayo kuokoa, hakuna mtu mwingine atakaye kusaidia. Inabidi ujishinde kwanza mwenyewe. You need to control the body and mind first... Then the soul will take heed and let you out of the prison.
Kanisa siwezi kufungua siko hapa kwawaaminishha watu.
Nimeokoka ndugu yangu siku hizi njoo kwa Yesu kuna raha na amani tele💪🏿🔥And that's it mkuu mshana
Naomba unifanyie initiation na mimi niwe mganga sasa🥱
Mimi siamini katika dini bali naamini katika Mungu mkuu.. Na katika imani inayonipa nafasi ya kumwabudu na kumtumikia katika roho na kweliMkuu unaamini katika dini?
If sooo, wewe sio mganga na haukuwa mganga
OK I believe sio mtu huyo Mungu!Mimi siamini katika dini bali naamini katika Mungu mkuu.. Na katika imani inayonipa nafasi ya kumwabudu na kumtumikia katika roho na kweli
Kuna kipindi katika maisha yangu nilikengeuka na kuishi kwenye upagani huko ndio nilienda kujifunza uganga, uchawi na ulozi.. Ila kwasasa siko huko tena! Nimetubu na kurudi kwenye asili yangu🙏🏿
Wewe bado katotoDaah 😂 kwa hiyo unadhani subconscious mind inaoperate hivyo..
Kivyovyote ila bado ni mchanga mnoMaybe... Ila in the grand scheme age is just a number