LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,622
Kwenye ulimwengubwa roho ubaya wa nyege umekaa wapi mkuu? 😂Nyege mbaya Sana hata kwenye ulimwengu wa roho.
Na Sisi wanaume tukiwa na mzuka basi akili ya kutafuta Hela inahama kabisa
Kwenye ulimwengubwa roho ubaya wa nyege umekaa wapi mkuu? 😂Nyege mbaya Sana hata kwenye ulimwengu wa roho.
Na Sisi wanaume tukiwa na mzuka basi akili ya kutafuta Hela inahama kabisa
Acha kabisa mkuu ukiwa unakuja demu kwenye ndoto ni balaaaaa kabisa.Kwenye ulimwengubwa roho ubaya wa nyege umekaa wapi mkuu? 😂
Ndio majini au??Acha kabisa mkuu ukiwa unakuja demu kwenye ndoto ni balaaaaa kabisa.
4. UZIMA WA BAADA YA KIFO KATIKA MTAZAMO WA AKASHIC RECORDS
Kulingana na uzoefu wa wanaoweza kuona Akashic Records, maisha baada ya kifo yanafuata hatua zifuatazo:
1. Kuondoka katika mwili wa kimwili – Roho hutoka katika mwili wake na kuanza safari ya kwanza katika kiwango cha Etheric.
2. Kuishi katika Astral Dimension – Roho hupitia uzoefu wa tamaa zake na matakwa yake kwa kina, hadi itakapozielewa kama udanganyifu wa kiakili.
3. Kuingia katika Mental Dimension – Hapa, roho hutazama maisha yake yote, matendo yake, na athari zake kwa ulimwengu. Kila tukio huongezwa kwenye Akashic Records.
4. Kupitia Buddhic Dimension – Roho inapitia uponyaji wa kiroho na kurudishwa kwenye hali yake kamili ya kiungu.
5. Hatua ya mwisho katika Atmic Dimension – Roho huungana na wapendwa wake na kusubiri hatua yake inayofuata ya safari ya kiroho.
Huyu demu ni bongo movie.
WelcomeHaya madude ndio nayapendaga
MDa MZURI jioniKwahyo astral unaweza ukaifanya muda wowote ule iwe mchana au usiku na isiwe na tatiz lolot?
ok shukran... But i want to know something else... Wakat wa astral stej ya kunyanyuk unakuw wew mwenyew unajinyanyua au roho tu automatical inajinyanyua yenyew man nilifik mpak steji ambay hat pumzi yang yenyew nikaw siihisi kabis yan nilikuw mwepes san kan kwamb nipo emty kam mfuk ueleavyo juu lakin sikuw natambua kam bdo npo kweny mwili au vp mana sikufumbua mach badae gafla nikaanz ten kuyahis mapgo ya moyo na nikajion naanz kuuon uzto tena kwel mwil.contiue....MDa MZURI jioni
Katika hatua hiyo ya kunyanyuka:ok shukran... But i want to know something else... Wakat wa astral stej ya kunyanyuk unakuw wew mwenyew unajinyanyua au roho tu automatical inajinyanyua yenyew man nilifik mpak steji ambay hat pumzi yang yenyew nikaw siihisi kabis yan nilikuw mwepes san kan kwamb nipo emty kam mfuk ueleavyo juu lakin sikuw natambua kam bdo npo kweny mwili au vp mana sikufumbua mach badae gafla nikaanz ten kuyahis mapgo ya moyo na nikajion naanz kuuon uzto tena kwel mwil.contiue....
ok shukran san mkuu nitajitahid kufanyia mazoez...Katika hatua hiyo ya kunyanyuka:
Ni roho yako (mwili wa astral) ndiyo inayojitenga kutoka kwa mwili wa nyama.
Kujitenga huku mara nyingi ni automatic, si kwa nguvu zako za mwili, ila ni kwa uwezo wa kiroho, mawazo yaliyotulia, na hali ya kuwa "conscious" huku mwili ukiwa kwenye usingizi au nusu ya usingizi.
Unaweza kujifunza kuiongoza hiyo roho kwa mazoezi, lakini mara nyingi kwa watu wanaoanza, mwili wa roho hujiondoa wenyewe kama vile tu mtu anavyoota anapaa.
Ila ww
Uliingiwa na woga
Mawazo yakabadilika kwa ghafla
Umakini ukarudi kwa mwili.
Ushauri wangu
Usiogope – hofu inaweza kuharibu safari ya astral,fanya mazoezi ya kutuliza akili – meditation, upumuaji mzuri,jifunze kudhibiti nafsi – jifunze kuongozana na mwili wa roho badala ya kuamshwa ghafla,ulale ukiwa na nia ya kutaka kutoka (astral travel) – ni rahisi kuendeleza hatua kama hizi kwa lengo na maandalizi.