¿¿¿Spiritual au kimwili???

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,667
362
Wapenzi wangu nimewamiss baada ya mtoko wa siku chache kiofisi vijijini.

kuna swali ambalo nimeona kuna sababu tujiulize tupate jibu................


..........................Je mapenzi ni jambo la kiroho au la kimwili?

Kimwili: Kwa nini na je kuyachukulia kinyume na hivyo kuna madhara gani?

Kiroho: Kwa nini na je kuyachukulia kinyume na hivyo kuna madhara gani?

Kiroho na Kimwili: Kwa nini na je kuyachukulia kinyume na hivyo kuna madhara gani?

Ninachodhani mimi ni kuwa kila take ina athari yake fulani (be it negative or positive) kwenye mahusiano na uko umuhimu wa kufahamu katika pande zote

Nawasilisha marafiki
 
mhhh
mi sijaelewa.
ebu kdg:coffee:

Rose hujaelewa nini mama??

Wako wengine wanasema mapenzio ni suala la kimwili ukiingiza mambo ya kiroho unaharibu


Wengine wanasema ni la kiroho zaidi na ukikaa kimwili unaharibu kama vile kupata mke mwema ni kazi ya Mungu na hupaswi ingiza utashi wako zaidi ya kuacha kila kitu kwake


Na wengine wanasema ni mchanganyiko wa yote na ukikosa kuweka vyote pamoja (ukimwili na ukiroho inakula kwako)
 
Kiroho na kimwili poa


Mhh!!! Gaga vipi tena hapo....kwa nini unadhani ni kimwili na kiroho pia??

Hapa kuna contradicting ideas juu ya jambo hili na inafaa tupate base ya kujua which is which

Kanini Gaga ni vyote?
 
Hii umeiweka kitaalam zaidi.
-Kiroho ni pale nafsi inatulia na hisia zote.
-Kimwili unapotoa Sperms unakua salama kimwili. Au unapo Ejaculate mwili unapumua.


-Pia ungeongeza KIAKILI.
ZIWEPO 3
(I)KIROHO.
(ii)KIMWILI.
(III)KIAKILI.
 
Labda sijakuelewa unaposema kiroho..... (je unamaanisha upendo.., au imani ya kidini..? sababu kama ni dini je wapagani unawaweka wapi?)

lakini kama kiroho unamaanisha ni mapendo kutoka rohoni then huwezi ukawa nalo moja bila lingine... kiroho peke yake ni kama mapenzi ya mtu na ndugu yake; kimwili peke yake hayo sio mapenzi ni tamaa na hutokea kama ukichukua changudoa; lakini kwa wapenzi lazima viwepo vyote ili muitwe wapenzi na sio marafiki pekee
 
Kiroho na kimwili.
Ishirikisheni miili yenu kuonesha yaliyo moyoni.
 
Kiroho na kimwili,kupitia roho tunapenda na kwa mwili tunaonyesha upendo wetu kwa vitendo ambavyo roho inapenda na kuridha tuvifanye......

Hato mengine ndo kama alivyosema VOR,ni tamaa.......:laugh:
 
Back
Top Bottom