Wakuu jamii ya Mbilikimo wengi wamekuwa wakipatikana katika misitu ya Jamhuri ya Congo, ingawaje hata hapa Tanzania kuna wachache mfano kuna Dada mmoja ktk kundi la VITUKO SHOW. Sasa mwenye kujua hasa kule Kongo kwanini huwa wanapatikana kwa idadi kubwa anaweza tujuza. Mwanamuziki...