There is something wrong! Sio bure kabisa, ni kwanini kiongozi mkubwa kiasi hiki muda wote hayupo bungeni.Labda bado anaumwa.Wadau naomba kuwasilisha.
Kiongozi wa juu wa serikali kwa cheo cha Spika wa Bunge ni mtu muhimu sana kwa wananchi na ni vyema tukaendelea kujulishwa na uongozi wa bunge kuhusu aliko.
Imekuwa muda mrefu hakuna taarifa rasmi kuhusu mahali aliko, kama anaumwa au la, anaendeleaje, afya yake imeimarika, au yuko mapumzikoni...
Nadhani ni vizuri tukajenga utamaduni wa vyombo vya umma kutoa taarifa kwa wananchi kwa mambo ya kitaifa. Mfano kiongozi wa muhimili mmojawapo wa dola hajaonekana kwa muda mrefu, bunge likiendeshwa na Naibu Spika bila taarifa zozote rasmi. Inatakiwa wananchi tuendelee kujulishwa kila kinachoendelea maana ni kiongozi wetu.
Nawasilisha
Wakuu mbona mnazunguka mbuyu? Naona UKAWA wamebana wanatamani kuachia. Kurudi bungeni chini ya naibu spika umekuwa ni mkwamo mkuu chini ya maamuzi ya kukurupuka ya mzee mbowe.sugu za miguu zinauma wakati safari bado ndefu. Hekima na busara ni kurudisha majeshi ili wabunge waweze kujadili swala muhimu linalogusa wananchi wao wanaowawakilisha.There is something wrong! Sio bure kabisa, ni kwanini kiongozi mkubwa kiasi hiki muda wote hayupo bungeni.Labda bado anaumwa.
Wadau naomba kuwasilisha.
Kiongozi wa juu wa serikali kwa cheo cha Spika wa Bunge ni mtu muhimu sana kwa wananchi na ni vyema tukaendelea kujulishwa na uongozi wa bunge kuhusu aliko.
Imekuwa muda mrefu hakuna taarifa rasmi kuhusu mahali aliko, kama anaumwa au la, anaendeleaje, afya yake imeimarika, au yuko mapumzikoni...
Nadhani ni vizuri tukajenga utamaduni wa vyombo vya umma kutoa taarifa kwa wananchi kwa mambo ya kitaifa. Mfano kiongozi wa muhimili mmojawapo wa dola hajaonekana kwa muda mrefu, bunge likiendeshwa na Naibu Spika bila taarifa zozote rasmi. Inatakiwa wananchi tuendelee kujulishwa kila kinachoendelea maana ni kiongozi wetu.
Nawasilisha
Bulahi wangu hali si nzuri...Nilibahatika kumuona juzi kati maeneo fulani
Kwa kumtazama tu hata kama mimi si daktari jamaa afya yake si nzuri
Kadhoofu,sura haina nuru tena na anaonekana kuwa dhaifu wa mwili,hali yake si nzuri na ni kama mwili unavimba hivi,maana naona hata viatu havai anavaa "sandozi" tu
Madaraka na fahari za dunia zitapita,utu wa mwanadamu uwe mbele kuliko cheo na mali...(Hii haiuhusiani na hali ya spika kwa sasa)
Binaadamu wengi hufanya mambo kama vile wataishi na kufurahia ushindi milele hiyo ni hulka ya kibinaadamuBulahi wangu hali si nzuri...Nilibahatika kumuona juzi kati maeneo fulani