R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Nilifurahishwa na kitendo cha spika kuzuru eneo la MOFED Makontena zaidi ya 220 yamezuiliwa; Sijui kamati ya madini na mwenyekiti wao kazi yao ni kuzunguka kwenye migodi na kupewa.
Nilitegemea kamati ndo ingekuja na hoja kuwa makontena zaidi ya 1OOO YA MCHANNGE UMECHIMBWA GEITA NA KAHAMA; Madhara yafutayo yameshatokea
1. Watu wamedhulika na mercury tuliona mpaka ikaundwa tume
2. GEITA MJINI ikitokea tetemeko chini nasikia ni shimbo ; Je kwanini mji wa Geita usiamishwe kuwa si salama , mpaka madhara yatokee mji uzame ; mchanga kontena 10000; umejazwa alidhini mwingine au .
3. Kazi ya kamati tunaposikia zinazunguka na kutoa mrejesho kwanini kamati ya madini hatujawai kuisikia ikitolea ata ufafanuzi suala la utoloshwa?
4. Wananchi BUNGE halitutendei haki ; wananchi wanapaswa kujua kama alivyo jaribu JPM kutumbumbulia uozo huuu. ata kwa mungu amemuona nia yake.
USHAURI
Tulitegemea baada ya Rais kamati ya madini ingeenda NA KUTOA MSIMAMO ; mbona wakati wa sakata la Clouds tuliambiwa kamati ya sanaa na michezo ilikuwa nje ya jengo la Clouds ili hali waziri alikuwa na MOAT.
Waziri mkuu kaenda mpaka buzwagi ; kamati imegoma kwenda,
Tumbua kamati kuanza upya si ujinga