PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Musachawenyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
274
Reaction score
508
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.

===========

Updates,

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa kimemteua Ester Matiko kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la Tarime Mjini mkoani Mara.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla, akizungumza na wanahabari usiku wa Jumamosi Agosti 23, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Si wananchi ndio wahakikishe ubunge?
 
"Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!

wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
 
Si mbaya aje CHAUMMA tutampitisha bila kupingwa
 
"Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!

wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Esther na Salum Mwalim wanategea mume wa Esther afe waoane ila babu yuko kwenye wheelchair na kakataa kufa.
 
"Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim"!!!

wamama wanasiasa wanachapwa sana, waume zao nawahurumia.
Kwa hiyo Trump kuzuia misaada ya Ukimwi na kondom hazina shida, maana ni nyama Kwa nyama kama kazi!
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Kwa hiyo mkurya kachapiwa
 
Esther ni mwanamke malaya malaya.

Aliolewa na kijana mwenzake.

Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.

Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.

Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.

Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.

Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.

Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
Watu mnadata!
 
Back
Top Bottom