PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

PreGE2025 GE2025 Spika Tulia amemhakikishia Esther Matiko ubunge Tarime mjini kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwamba watoto watatu aliodhani ni wake ni wa Salimu Mwalimu. Maajabu yapo duniani.
Mkurya gani huyo mwenye roho ya kondoo?
Shida ni Babu sana. Yaani Esther alienda kwa huyo mzee sababu ya pesa.

Kwa umri Esther ni mwanae
 
Mume wake wa ndoa alikuwa anaitwa Matoke.

Alipambana sana akaenda na Esther London.

Wakati anajitafuta Esther akakutana na babu mtanzania alikuwa Mkurugenzi kwenye taasisi nyeti serikali.

Akasaliti kama kawaida yake ya usaliti na akafuata pesa.
Mkuu huyo jamaa yaek bado yuko London? Alienda London kufanya nini?
 
Hapo kwenye watoto hapo!!

Ndio maana mi ntaoa Hadi mwisho wa maisha yangu ni kuzaa TU aiseh!!

Usiwe mwaminifu Kwa Hawa viumbe ukija kugundua kwamba ulipigwa utajiona mjinga sana!!

Ngoja niende nyumbani nikaoe tena!
 
Esther ni mwanamke malaya malaya.

Aliolewa na kijana mwenzake.

Baadae akakutana na babu mwenye pesa akawa mchepuko.

Mke wa babu kagundua kamsanua na mume wa Esther.

Ndoa ya Esther ikavunjika na ya babu ikavunjika.

Ndipo Esther na babu wakaamua kuoana.

Baadae katika harakati za Chadema akakutana na Salum Mwalim akiwa mtangazaji.

Hadi sasa Salum Mwalim ni Ben 10 wa Esther, kapangiwa nyumba upande kinondoni na tayari wana watoto wawili wasio na vichogo.
Duuuuuh. Bongo kuna mambo mob
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Esther amekuwa mpambe wa karibu wa Mh. Tulia siku za hivi karibuni.

Esther anakumbana upinzani mkubwa Tarime mjini kwa sababu nyingi, moja ni mzaliwa wa Tarime vijijini, pili 2015 aliposhinda kwa upepo wa Lowasa hakutimiza ahadi zake.

Tatu 2015 alipewa kura Tarime mjini sababu mume wake ni mzaliwa wa Tarime mjini. Lakini toka 2020 mume wa Esther aligoma kwenda kumuombea kura baada ya kugundua watoto wawili kati ya watatu walio nao sio wake bali wa Salum Mwalim.

Jambo hili ni gumu wacha tuone mwisho wake.
Ustadh Salum mwalim amezini? Mawe hadi afe mbele ya jamii anatakiwa apigwe
 
Back
Top Bottom