Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,702
Leo nimemsikia spika wa Bunge Tulia, ametumwa na wananchi wa Tanzania kumpa tuzo Rais wa Jamhuri ya watu wasio na mawaa. Sisi wananchi hatuna kumbukumbu ya kukutuma kwa jambo hilo.
Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe hayo maudhui kwa niaba ya wananchi.
Kidumu chama cha mapinduzi
Tunaomba ukanushe, maana habari hizi sio za kweli kabisa. TCRA wapo njiani kutuma barua vyombo vya habari viondoe hayo maudhui kwa niaba ya wananchi.
Kidumu chama cha mapinduzi