Spika: Sameheni, nanyi mtasamehewa: Mathew 6: 36 -38

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,231
Mh. Spika, kumbuka ulimpiga mtu fimbo akazimia, Jamii ya watanzania, ndugu jamaa na marafiki wakakusamehe/ukasamehewa, nawe samehe usamehewe!

“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa. Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa. Kipimo cha kujaa na kushindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.” Mathew 6: 36 -38
 
Shida tumbo Anaogopa Tulia atakalia kitu chake.Mwenzako aliuma na kuuliza Hahahahahaha
 
Nakumbuka pamoja na kumtwanga rungu la kichwa mpinzani wake wakati wa kampeni za ubunge kidogo afe, nilijiunga na wengine kumuombea dua alipokuwa kwenye hatihati za roho kuuacha mwili kule India hadi Mungu akasikia kilio cha wengi. Nashangaa kapona sasa amejiunga na shetani kwa matendo na kauli.
Tumuulize Ndugai, jee unadhani uliponywa na shetani?
 
Sawa tu Mh Ndungai endelea kutenda hayo unayotend, lakini Kumbuka wengi wamepita hapo kwenye hicho kiti kwa ubabe kama akina Sitta Samweli. Sasa leo wapo wapi?
 
Mh. Spika, kumbuka ulimpiga mtu fimbo akazimia, Jamii ya watanzania, ndugu jamaa na marafiki wakakusamehe/ukasamehewa, nawe samehe usamehewe!

“Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa. Msilaumu, nanyi hamtalaumiwa. Sameheni, nanyi mtasamehewa. Wapeni watu vitu, nanyi mtapewa. Kipimo cha kujaa na kushindiliwa na kusukwasukwa hata kumwagika, ndicho watu watakachowapa vifuani mwenu. Kwa kuwa kipimo kile kile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa.” Mathew 6: 36 -38
Kama hata ile dua wanayo omba kabla ya vikao hawikumbuki itakuwa mistari ya Biblia!!!
This is more than too much.
 
Back
Top Bottom