Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Spika Ndugai hata wewe huna maadili kama Halima Mdee. Wakati wa uchaguzi wa 2015 katika jimbo la Kongwa ulimtukana matusi na kumpiga fimbo kichwani mgombea wa CCM alikuwa anataka kugombea jumbo la Kongwa jimbo ambalo nawe ulikuwa unagombea mpaka Kuzirai na kupelekwa Hospital. Tulivishangaa vyombo vya Dola kutokukukamata na kukutia pingu kama unavyotaka Halima Mdee afanyiwe.
Je mbona wewe ulitukana?
Je mbona wewe ulimpiga fimbo na kusababisha azirai?
Je Polisi walikutia pingu?
Watanzania hatujasahau tunakumbuka.
Je mbona wewe ulitukana?
Je mbona wewe ulimpiga fimbo na kusababisha azirai?
Je Polisi walikutia pingu?
Watanzania hatujasahau tunakumbuka.